Zechariah 9:16


16 a Bwana Mwenyezi Mungu wao atawaokoa siku hiyo
kama kundi la watu wake.
Watang’aa katika nchi yake
kama vito vya thamani kwenye taji.
Copyright information for SwhKC